Tommy Flavour Nishazama lyrics

[Intro: Tommy Flavour]
Oh! Mama Mama Maaama
Uwooooo Baby
Yeiiii ii!

[Verse 1: Tommy Flavour]
Umenichanjia Damu
Labda Niashumu
Mbona walokuacha Nyuma
Watajilaumu

Eh! Wanatujaza SuuuuMuuuh
Tutengane Su(?)
Na Moyo unanisukumaa
Kukuacha Ngumu

[Hook: Tommy Flavour]
Eh! Kama Ungelikua Salio
Ningekujaza on My phone
Upendo Nijaze kwa kilo
Tushike nawe My Love

Kama Ungelikua Salio
Ningekujaza on My phone
Ujihisi wap kidalingo Ooh!
UuuH! Uwoo

[Chorus: Tommy Flavour]
Nishazama Mazima kwako Baby
Nakutwisha upendo naomba ubebe
Nishazama Mazima kwako Baby (Uwuu Uwuuu)
Nakutwisha upendo naomba ubebe (Ooooh)
[Verse 2: Tommy Flavour]
She is rocking my body
Na Usiku silali
She cause me a sugar
Ananivurugaaa

Akanishika Kweli Kweli
I just wanna Marry Marry Her
Kwake siwezi Feli
Ndo kwanza ninazidi Gradee

[Hook: Tommy Flavour]
Kama Ungelikua Salio
Ningekujaza on My phone
Upendo Nijaze kwa kilo
Tushike nawe My Love

Kama Ungelikua Salio
Ningekujaza on My phone
Ujihisi wap kidalingo Ooh!
UuuH! Uwoo

[Chorus: Tommy Flavour]
Nishazama Mazima kwako Baby
Nakutwisha upendo naomba ubebe
Nishazama Mazima kwako Baby (Uwuu Uwuuu)
Nakutwisha upendo naomba ubebe (Ooooh)

World Trendings